Yesu: Kweli—Si mabakishi,

Ukweli—Si bidhaa zilizotengenezwa, Kichwa—Si kiumbe mkuu

Mualiko wa Mungu kwa dunia ni kuwa nyumbani pamoja kwa ajili ya Baba, Mwana na Roho Mtakatifu—kuwa Bi harusi aliye jitayarisha kwa kurudi kwa Bwana harusi,Yesu Kristo (Yohana 13-15, Waefeso 2-5, Ufunuo19:7) Ukitafakari kuhusu picha zilizo kwa maandishi ya vile maisha yalivyo, naye au kumhusu, Yesu anatamatisha —je ni nini? Ni uchumba—na chakula cha harusi! Mungu anatuhimiza akisema “Nina uhakika Kunihusu. Ikiwa mtakuwa ndani Yangu na kuangalia niliye hakutakuwa na washindani wengine wowote duniani.HAkuna kitu chochote duniani ambacho kita shinda roho yako kama vile ninaweza—kwasababu nilikuumba kwa ajili yangu Mimi Mwenyewe. Vitu vingine vimekupotosha lakini ikiwa utachukua mda na kukanyaga kando Nami, utaona jinsi maisha yanavyo takikana kuwa. Na kutakuwa na harusi! “Kwa hivyo jitayarishe,bi harusi” 7/5/2007

  Chapters

 1. Mwaliko Wake
 2. Yesu: Mjenzi na Mbuni
 3. KUJENGA NA NYENZO NZURI
  JE! KANISA NA MKRISTO NI NINI?
 4. KUJENGA KWA MTINDO WAKE NA MBUNI YAKE
  MAISHA YA PAMOJA YA KILA SIKU
 5. KUJENGA ILI IWE IMARA
  UJASIRI WA KUBADILIKA
 6. Yesu: Kiongozi na Kichwa
 7. UONGOZI WA YESU
  KATIKA WATU WAKE WOTE
 8. UONGOZI WA YESU
  SAMWELI DHIDI YA SAULI
 9. UONGOZI WA YESU
  KATIKA MIKUTANO
 10. UONGOZI WA YESU
  KIMAISHA
 11. KUSUDI LA MUNGU … SASA!
 

Munkhoza kuchulukitsa bukhu loseli mutafunsa kwa mkozi ndipo muli ndi ufulu ochulukitsa monga lili bukhuli, koma bukhuli ndi losagulitsa pa mtengo uli wonse. (2 Akorinto 2:17 Mateyu 10:8)

©1985-2013 Haki Zote Zimehifadhiwa. Vitabu vyote na sauti zinapatikana bila malipo, kama zawadi kwa Yesu na wale ambao watatoa maisha yao kwa ajiili Yake. Wasiliana nasi kwa anwani ya barua ?. Na Neema Yake na Uzima Wake uwe juu yako, unapovaa Jina Lake na Kutembea katika Njia Zake. P.O. Box 68309, Indianapolis, IN 46268 USA or Contact@HouseChurch.com.